JARIDA LA UGHAIBUNI

Thursday, February 23, 2006

LUBUVA AHUTUBIA MENLO PARK ROTARY

Ndugu wasomaji jana ilikuwa siku ya pekee kwangu kuintangaza nchi yangu pale nilipopewea nafasi ya kuihutubia Rotary Klab ya Menlo Park hapa California. Niliongea Juu biashara huria na nafasi za uwekezaji nchini Tanzania. Baadhi ya mambo niliyoongelea ni Sekta muhimu za mawasiliano, miundombinu, usafiri wa majini na nchi kavu, mabenki na taasisi za bima, madini na taasisi zisizo za kiserikali zinazojihusisha na mambo ya kijamii na uchumi.

Mazungunzo yalihusisha nafasi za uwekezaji kama vile uwekezaji katika madaraja na barabara, ununuzi wa hisa za benki ya NMB, usafiri wa boti ziendazo kasi na mambo mengine mengi. Wasikilizaji wenye msimamo wa Kikonservative walivutiwa sana na kuuliza maswali mengi yenye mwelekeo wa nia ya uwekezaji. Mmoja wao alitoa pendekezo la kuanziasha taasisi ya mikopo midogo midogo nchini Tanzania.

8 Comments:

At 9:29 AM, Blogger Jeff Msangi said...

Safi sana Lubuva.Unajua kuwa balozi sio lazima uapishwe na raisi kabla ya kupanda ndege.Sisi ndio mabalozi wa Tanzania huku nje.Sisi ndio wa kuitangaza nchi yetu kwa udi na uvumba huku tukiwaonya mafedhuli kwamba sisi sio wajinga na hivyo wawe makini.Hongera sana Lubuva

 
At 12:18 AM, Blogger mzee wa mshitu said...

Hongera Lubuva

Kwanini usipewe ubalozi wa heshima ukaiwakilisha California Tanzania. Nafahamu kuwa tunaye Balozi Andrew Daraja kule Washington.

Lakini katika ile kutekeleza sera yetu ya mambo ya nje iliyoanza kutumika kama sikosei mwaka juzi au mwaka jana ile ya diplomasia ya kiuchumi kwa hakika umeonekana kuittekeleza kwa asilimia 100.

Eneo ambalo mmoja wa wawekezaji amelidokezea la mikopo kwa hakika ndilo linalopigiwa kelele kila siku hapa kwetu na kuna vi-microfinance institutions twingi lakini hatuna financial muscle.

Hongera Lubuva

 
At 4:34 AM, Blogger muungwana said...

Bwana Lubuva umefanya vizuri sana kuitangaza Tanzania, na kwasababu hiyo wewe ni kama balozi wa Tanzania huko California. Lakini pamoja na hayo, ungetaka kutujulisha sisi wasomaji wa blog yako kile ambacho ulizungumzia katika hotuba yako, unge-post hiyo speech, badala ya kutupigia porojo, tuone kama kweli uliweza kuitangaza tanzania, au ulipiga porojo tu!

 
At 4:06 PM, Blogger bleeeeeeeeeeeeeee said...

Put her across stream! he shouted; she can't make headway against yasmin this current.. sensory organ on the mobile quantity, is demonstrated in the teleological connection by nothing more clearly than by the creation of a new series of azithromycin qualities and consequently a new regulation which constitutes the precedence of man over the animals.. They went out of amitriptyline the dining-room, their hats as ever pressed to their breasts...

 
At 2:03 PM, Anonymous Anonymous said...

Hello I just entered before I have to leave to the airport, it's been very nice to meet you, if you want here is the site I told you about where I type some stuff and make good money (I work from home): here it is

 
At 7:24 AM, Anonymous Anonymous said...

IS VERY GOOD..............................

 
At 8:52 AM, Blogger zarena kewat said...

That's what everyone likes. You have a good imagination. Great post thanks you
vimax canada

 
At 9:05 PM, Blogger yanmaneee said...

westbrook shoes
goyard
kyrie 6
air max 97
off white shoes
ralph lauren uk
hermes online
nike 97
vans outlet
ferragamo belt

 

Post a Comment

<< Home